Ijumaa ya leo nimeona ni heri nitumie maisha ya binti yangu Angel Wanjiru kama njia ya kuwapa moyo katika safari hii ya maisha. Safari ya maisha huwa na panda shuka sio haba, na ndio maana ni sharti ...
Maelezo ya picha, Walikutana katika makazi ya watoto mnamo 1959 na wakaanzisha uhusiano ambao haukuisha (Irene na Alan kwa sasa) 17 Disemba 2023 Alipokuwa na umri wa miaka 9, Irene alipelekwa kwenye ...