Mapema mwaka huu Anick mwenye miaka 23 ambaye alizaliwa akiwa na viungo viwili, alikuwa akijiandaa kwa upasuaji wa mwisho ambao utampa uume ulio kamili. "Siwezi kukumbuka ni mara ngapi madaktari na ...
Laiti wangelijua mimi ni nani, wangelinitukana na kunikejeli,"Ek, (sio jina lake halisi) anasema. Alizaliwa akiwa ana jinsia mbili ya kike na ya kiume ambayo (ilifichwa) ili kumtambulisha kama ...
Ijumaa ya leo nimeona ni heri nitumie maisha ya binti yangu Angel Wanjiru kama njia ya kuwapa moyo katika safari hii ya maisha. Safari ya maisha huwa na panda shuka sio haba, na ndio maana ni sharti ...