Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amehutubia taifa jioni ya Jumapili, Julai 13, kushughulikia kashfa inayomkabili Waziri wake wa Polisi. Afisa huyu wa serikali alishutumiwa wiki moja iliyopita kwa ...
Viongozi wa vyama vya upinzani Afrika Kusini wamepinga vikali uamuzi wa Rais Cyril Ramaphosa wa kumweka Waziri anaesimamia idara ya Polisi, Senzo Mchunu, kwenye likizo ya lazima, wakisema hatua hiyo ...