Hossein Salami, kamanda wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (IRGC), aliyeuawa katika mashambulizi ya Israeli mapema Ijumaa, ni kiongozi mwandamizi zaidi wa Iran kufa katika ...
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi nchini Iran IRGC lilitangaza jana usiku kuwa limetumia kombora la "Fatah hypersonic" katika shambulio la kombora dhidi ya Israeli. Hii inaonekana kuwa mara ya kwanza kwa ...
Walinzi wa Mapinduzi ya Iran wameapa kulipiza kisasi baada ya kifo cha kiongozi wao, Hossein Salami. Mashambulio haya "hayatabaki bila kujibiwa na (Israeli) lazima itarajie kulipizwa kisasi kikali na ...
Kikosi Maalum cha Walinzi wa Mapinduzi nchini Iran, leo kimetangaza vifo vya majenerali sita zaidi na kuongeza idadi ya maafisa wakuu waliouawa katika kampeini ya kijeshi ya Israel kufikia 16.
Walinzi wawili wa jeshi la kitaifa la Marekani wapo katika hali mahututi baada ya kujeruhiwa vibaya katika shambulio la risasi karibu na Ikulu ya Marekani usiku wa kuamkia leo Alhamisi. Trump amesema ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results